WELCOME FRESHERS EVENT
Muhtasari: Welcome Freshers Event on Friday 20/11/2026.
Jiunge na Kisare College of Health Sciences (Udahili wa 2026/2027)
Je, unatamani kuwa mtaalamu wa afya aliyebobea katika Uuguzi na Ukunga (Diploma/Certificate in Nursing & Midwifery) au Utabibu (Diploma/Certificate in Clinical Medicine)? KCHS inakupa mazingira bora ya masomo, maabara za kisasa, hosteli tulivu na mafunzo ya vitendo katika hospitali zote kuu za Mkoa wa Mara.